Swahili Sayings about Love
Swahili Sayings about Love: True love still exists and it is always beautiful.
Looking for Swahili sayings to send to your love; today we are going to look at Swahili Sayings about Love that you can SMS or text to your love.
Let them know how you feel in Swahili.
Contents
Swahili Sayings About Love
1. Kuna uwezekano mimi sio wa kwanza kuwa mpenzi wako, kukupa busu, ama kukupenda lakini nataka kuwa wako wa mwisho.
Meaning: I may not be your first date, kiss, or love, but I want to be your last.
2. Hisia bora kabisa ni wakati unamwangalia na yeye tayari anakuangalia.
Meaning: The best feeling is when you look at him and he is already staring.
3. Ninakupenda – I love you
4. Kila mahali nikiangalia ninakumbushwa upendo wako. Wewe ni dunia yangu.
Meaning: Everywhere I look I am reminded of your love. You are my world.
5. Najua upendo ni nini, ni kwa sababu yako.
Meaning: If I know what love is, it is because of you
6. Kupenda sio kitu. Kupendwa ni kitu. Lakini kupenda na kupendwa ni kila kitu.
Meaning: To love is nothing. To be loved is something. But to love and be loved is everything.
7. Kama ningeishi maisha yangu tena, Ningependa kukupata upesi.
Meaning: If I were to live my life again, I’d find you sooner.
8. Naapa siweza kukupenda zaidi kuliko sasa na bado najua nitafanya hivyo kesho.
Meaning: I swear I couldn’t love you more than I do right now, and yet I know I will tomorrow.
9. Pamoja na wewe ni pahala bora zaidi kwangu kuwa.
Meaning: Together with you is my favorite place to be.
Read: Haitian Quotes in Creole
10. Mimi najihisi sana wakati niko na wewe.
Meaning: I am much more myself when I am with you.
11. Upendo ni kama upepo, huwezi kuona, lakini unaweza kuhisi hivyo.
Meaning: Love is like the wind, you can’t see it, but you can feel it.
12. Asante daima kwa kuwa upinde wangu baada ya dhoruba.
Meaning: Thank you for always being my rainbow after the storm.
13. Kama kuna kitu chochote nilifanya vizuri maishani mwangu, ilikuwa ni wakati mimi nilikupea moyo wangu.
Meaning: If I did anything right in my life, it was when I gave my heart to you.
14. Sina haja ya mahala peponi kwa sababu nimekupata wewe. Sina haja na ndoto kwa sababu niko na wewe.
Meaning: I don’t need paradise because I found you. I don’t need dreams because I have you.
15. Nikikuangalia wewe, naona maisha yangu yote ya usoni mbele ya macho yangu.
Meaning: When I look at you, I see the rest of my life in front of my eyes.
16. Kidole kisicho pete huvikwa.
Meaning: The finger that has no ring is bound to get one.
17. Mke kito chema
Meaning: A wife is considered a beautiful jewel.
Nafurahi kukuona
Meaning – I’m pleased to meet you. It can also be used to mean “I’m so glad to see you,” depending on the context of formal or casual
Wapendeza
Meaning – You look lovely or beautiful
Read: Beautiful Text Messages for Her
Swahili Love Messages
Moyo wangu ni wako milele. – My heart is yours forever.
Wewe ni jua langu. – You are my sun.
Maisha yangu hayanoki bila wewe. – My life is incomplete without you.
Nakupenda. – I love you.
Umenifanya niwe mtu bora. – You make me a better person.
Upo wapi mpenzi? Nimekukosa mno! – Where are you, love? I miss you so much!
Natamani ningekuwa hapo nikupe kumbatio kubwa! – I wish I could be there to give you a big hug!
Nataka kuwa nawe siku nzima, kila siku. – I want to be with you all day, every day.
Love SMS in Swahili
Kila nikiwaona macho yako, nahisi dunia nzima inasimama.- Every time I see your eyes, the whole world stops.
Sauti yako ni wimbo wangu unaopenda zaidi.- Your voice is my favorite song.
Busu zako hunitia kizunguzungu cha kupendeza.- Your kisses give me a delightful dizziness.
Hatuwezi kamwe kubadilisha yaliyopita, lakini nataka kujenga maisha yetu mazuri ya baadaye pamoja nawe.- We can never change the past, but I want to build our beautiful future together with you.
Umefanya maisha yangu kuwa mazuri kuliko nilivyofikiria.- You’ve made my life more beautiful than I ever imagined.
Utanifanya nichanganyikiwe na uzuri wako! – You’re going to make me crazy with your beauty!
Unanichekesha sana! Wewe ni wa pekee! – You make me laugh so much! You’re one of a kind!
Swahili Love Quotes
Je, utakuwa Valentine wangu?
Meaning: Will you be my Valentine?
Una maanisha mengi sana kwangu
Meaning: You mean so much to me.
Nakufikiria sana kama zaidi ya rafiki
Meaning: I think of you as more than a friend
Wewe ni mrembo sana
Meaning: You’re so beautiful.
Mioyo mia itakuwa chache sana kubeba upendo wangu wote kwako
Meaning: A hundred hearts would be too few to carry all my love for you
Upendo ni upendo tu. Haiwezi kuelezwa
Meaning: Love is just love. It can never be explained
Wacha yote unayofanya, ufanye kwa upendo
Meaning: Let all that you do be done in love
Nimekupenda
Meaning: I’ve got a crush on you
Unasura nzuri sana
Meaning: You’re so handsome.
Maneno hayawezi kueleza upendo wangu kwako.
Meaning: Words can’t describe my love for you
Unanifanya nataka kuwa mwanamume bora
Meaning: You make me want to be a better man
Wewe ni mwanga wangu, upendo wangu
Meaning: You are my sunshine, my love.
Tunakusudiwa tuwepamoja
Meaning: We were meant to be together.
Kama ningepata nafasi kuishi maisha yangu tena
Meaning: If I were to live my life again, I would love to find you sooner.
Nataka kuwa jambo lako la maana sana na kwaheri yako ambayo ni ngumu sana
Meaning: I would like to be your favorite hello as well as your hardest goodbye.
Nataka kuwa jambo lako la maana sana na kwaheri yako ambayo ni ngumu sana
Swahili Love Messages
Mpenzi kweli ni asali. Nataka nizidi kushuhudia utamu wa maisha nawe. Wafanya maisha yangu yawe kamili.
Ninapokutazama. Nayaona maisha yangu ya usoni. Siwezi ishi bila wewe mpenzi.
Kama ningeweza kubadilisha herufi ningeweka yangu na yako iwe moja.
Ninapokufikiria najua lazima nikupeleka kwa mama. Ni waringie rafiki zangu kuwa nishapata wangu barafu ya moyo. Mke mwema hutoka kwa Mungu nami nashukuru Mola kwa kunipa wewe. Mke mrembo na mwenye tabia za kupendeza.
Heri nikose pesa mfukoni kuliko nikose raha moyoni. Wewe ndiwe raha yangu. Nakupenda.
Ni kweli walivyosema wahenga kuwa moyo wa kupenda hauna subira. Ninavyokupenda mimi nataka niwe nawe wakati wote. Nilalapo na niamkapo, uwe karibu nami siku zote. Ni vigumu kungoja. Nikuote na nikuone. Wewe ndiwe nambari moja maishani mwangu.
Wanaojua husema kwamba mtu huanguka kwenye penzi mara moja. Siyaamini maneno haya kwa sababu mimi ninapokuona nakupenda zaidi na zaidi.
Mambo yasipokwenda vizuri kumbuka kwamba kuna Mungu mbinguni anayekupenda na pia nipo mimi hapa duniani ninayekupenda kwa dhati.
Wewe ni mtu wa maana sana katika maishani mwangu. Nakupenda sana.
Ninakuahidi, Sitawaacha mtu yeyote aingie katika njia ya upendo wetu, nakupenda na moyo wangu wote.
Kuna mtu huko nje ambaye atakupenda kwa jinsi ulivyo. Wewe ni hivyo kwangu, asante.
Nitakutunza kila siku kuanzia leo kuendelea; Nitakupenda zaidi na zaidi.
Ninapenda kuwa hewa unayopumua na Jua linalokuumiza, lakini ninachotaka zaidi ni kuwa mpenzi wa maisha yako.
Wewe ndiye mmiliki wa moyo wangu, hisia zangu, roho yangu na mwili wangu. Mimi ni wako, milele. Nakupenda.
Kila wakati uko mbali nami, nahisi upweke ndani ya moyo wangu. Siwezi kuacha kukosa na kukupenda. Hauwezi kufikiria ni jinsi gani ninakupenda mpenzi, na ni jinsi gani ninahitaji wewe.
Swahili Love Phrases
Maneneo hayatoshi kueleza ninavyokupenda mimi.
Wanipa kila sababu ya kutaka kuendelea kuishi.
Wewe ni nyota wa roho yangu.
Uzito wa penzi langu kwako anayejua ni mola tu.
Frequent Asked Questions
How do you express love in Swahili?
Nakupenda Sana – I love you so much.
What does Nakupenda Mpenzi mean?
It means I love you, my love.
How do you call your boyfriend in Swahili?
Huyu ni mpenzi wangu.